• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bunge la Marekani lapitisha azimio la kumdhibiti Trump kutumia madaraka ya kuanzisha vita dhidi ya Iran

  (GMT+08:00) 2020-01-10 08:45:18

  Baraza la chini la Bunge la Marekani limepitisha azimio linalolenga kumzuia rais wa nchi hiyo Donald Trump kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran bila idhini ya Bunge. Baraza hilo limepitisha azimio hilo kwa kura 224 za ndio dhidi ya 194 za hapana.

  Azimio hilo linamwelekeza Rais Trump kuacha matumizi ya jeshi la Marekani kujiingiza kwenye vitendo vya uhasama na Iran, isipokuwa kama akipata idhini ya bunge, au kama kuna ulazima wa kutumia nguvu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako