• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Serikali ya Yemen na Kamati ya mpito ya Kusini zakubaliana kuondoa majeshi Aden

  (GMT+08:00) 2020-01-10 09:03:28

  Ofisa wa serikali ya Yemen amesema ili kutekeleza makubaliano ya mgawanyo wa madaraka kati ya serikali ya nchi hiyo na Kamati ya mpito ya Kusini STC, pande hizo mbili zimesaini makubaliano mapya huko Riyadh, Saudi Arabia, zikikubaliana kuondoa majeshi yao ndani ya wiki tatu kutoka Aden, mji mkuu wa muda wa Yemen. Ofisa huyo ameeleza kuwa, majeshi yatakayoondolewa yatatumwa kupambana na kundi la Houthi kwenye sehemu za kusini na magharibi nchini humo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako