• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Jeshi la Syria lajibu shambulizi la waasi huko Idlib

  (GMT+08:00) 2020-01-10 09:03:55

  Shirika la habari la Syria SANA limeripoti kuwa, Jeshi la Syria limejibu shambulizi la kundi la waasi kwenye mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa nchi hiyo. Mapambano makali yamesababisha uharibifu wa vifaa vya kijeshi vya waasi, wapiganaji wengi wameuawa au kujeruhiwa. Shirika la habari SANA limesema kabla ya hapo, jeshi la Syria lilishambuliwa na kundi la waasi ambalo lilitumia ukungu na hali mbaya ya hewa kufanya shambulizi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako