• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Iran yathibitisha kuwa hakuna kombora lililoishambulia ndege ya Ukraine kabla ya kuanguka

  (GMT+08:00) 2020-01-10 19:30:06

  Mkuu wa shirika la anga la Iran Bw. Ali Abedzadeh leo amekanusha ripoti zinazodai kuwa kombora moja liliishambulia ndege ya Ukraine kwenye anga ya Tehran jumatano.

  Ameongeza kuwa, ndege hiyo iliwaka moto iliposafiri kwa sekonde 90 kwenye anga. Aidha, mwelekeo wa ndege na sehemu ilipoangukia zinaonyesha rubani alikuwa akijaribu kurudi kwenye uwanja wa ndege.

  Alipoulizwa kwa nini rubani hakutoa taarifa uwanja wa ndege kuhusu kurudi uwanjani hapo, Bw. Abedzadeh alisema rubani hakuwa na nafasi ya kuripoti kwa kuwa alilazimika kuiokoa ndege hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako