• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa China ampongeza sultani mpya wa Oman

  (GMT+08:00) 2020-01-13 09:06:30

  Rais Xi Jinping wa China ametoa salamu za kumpongeza Haitham bin Tariq al-Said kwa kurithi usultani wa Oman. Amesema tangu kuanzishwa uhusiano wa kibalozi kati ya nchi hizo mbili, uhusiano wa pande mbili umepata maendeleo makubwa na pande hizo zimekuwa wenzi wa kimkakati wanaoaminiana. Rais Xi amesema anatilia mkazo juu ya maendeleo ya uhusiano kati ya China na Oman, na yuko tayari kushirikiana na sultani Haitham ili kuboresha uhusiano wa wenzi wa kimkakati wa nchi hizo kwenye ngazi mpya.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako