• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Serikali ya Yemen na baraza la kusini wabadilishana wafungwa 53 chini ya upatanishi wa Saudi Arabia

  (GMT+08:00) 2020-01-13 09:07:49

  Serikali ya Yemen na Baraza la Mpito la Kusini STC linaloipinga wameanza kubadilishana wafungwa wapatao 53 chini ya makubaliano yaliyopatanishwa na Saudi Arabia kusini mwa nchi hiyo. Ofisa wa jeshi la Yemen amesema makubaliano hayo yalisainiwa na pande hizo mbili hasimu mjini Riyadh, Saudi Arabia mwezi Novemba mwaka jana. Wafungwa 33 wa Baraza hilo na 20 wa serikali wameachiwa huru safari hii.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako