• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kamati kuu ya ukaguzi wa nidhamu ya chama cha CPC yafanya mkutano wa mwaka kuweka mpango wa kazi kuhusu mapambano dhidi ya ufisadi

  (GMT+08:00) 2020-01-13 20:15:26

  Kamati kuu ya ukaguzi wa nidhamu ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC imefanya mkutano mkuu wa mwaka, na kuweka mpango wa kazi kuhusu mapambano dhidi ya ufisadi katika mwaka mpya.

  Huu ni mwaka wa China kukamilisha kwa pande zote ujenzi jamii yenye neema na mpango wa 13 wa miaka mitano. Mkutano wa ofisi ya siasa ya kamati kuu ya chama cha CPC uliofanyika mwezi uliopita umedokeza kuwa mwaka huu China itaendelea kukamilisha mfumo wa usimamizi wa taifa na kuimarisha kusimamia matumizi ya madaraka.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako