• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China kuimarisha usimamizi wa kazi ya kupunguza umaskini

  (GMT+08:00) 2020-01-13 20:48:47

  Rais Xi Jinping wa China amesisitiza kuwa, mwaka huu inatakiwa kutatua matatizo makuu yanayodhuru maslahi ya wananchi na kuimarisha usimamizi kuhusu kazi ya kupunguza umaskini hususan kwenye wilaya maskini.

  Akizungumza leo kwenye mkutano wa mwaka wa wajumbe wote wa kamati kuu ya ukaguzi wa nidhamu, rais Xi amesema ni muhimu kushughulikia ufisadi katika sekta ya maisha ya wananchi, nguvu ya kulinda magenge, na vizuizi kwenye utekelezaji wa sera zinazowanufaisha wananchi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako