• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi amesisitiza kuwa China inatakiwa kuimarisha mapambano dhidi ya ufisadi katika sekta ya fedha

  (GMT+08:00) 2020-01-13 20:49:13

  Rais Xi Jinping wa China amesisitiza kuwa, China inatakiwa kukuza mapambano dhidi ya ufisadi katika sekta ya fedha, kuongeza nguvu ya viwanda vya serikali katika kupambana na ufisadi, na kuimarisha usimamizi wa raslimali na mali za taifa.

  Pia amesisitiza kuwa inapaswa kujenga na kuimarisha usimamizi wa vitendo vya udanganyifu kwenye mashirika ya matibabu, kukamilisha mfumo wa usimamizi wa mali za taifa ndani na nje ya nchi, na kuimarisha ukaguzi na usimamizi kwa maofisa wanaowajibika katika ngazi mbalimbali.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako