• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Kocha mpya KMC akunjua makucha

  (GMT+08:00) 2020-01-14 16:32:09

  Kocha mpya wa KMC Haruna Harerimana amewataka wachezaji wake kucheza kwa malengo ili kuipa mafanikio klabu hiyo ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Kocha huyo amesema anataka wachezaji wanaojituma ambao watacheza kwa malengo ya kuisaidia KCB katika Ligi Kuu. Mbali na kunasa kocha huyo ambaye ataziba pengo la Etienne Ndayiragije, KMC imewaondoa wachezaji watano, na kumuuza mmoja kwa timu ya Ndanda ya Mtwara.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako