• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Shime aipania Burundi

  (GMT+08:00) 2020-01-14 16:32:31

  Kocha wa timu ya soka ya Taifa ya wanawake Tanzania chini ya miaka 17 Bakari Shime amesema atacheza mchezo wa kushambulia muda wote wakati watakaporudiana na Burundi mwishoni mwa mwezi huu mjini Mujumbura, Burundi. Jumamosi iliyopita timu hiyo iliibuka na ushindi wa mabao 5 – 1 dhidi ya Burundi katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaa, Tanzania. Amesema kikosi chake kinalazimika kulinda ushindi huo dhidi ya Burundi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako