• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania: Wakulima wachangamkia zao la alizeti

  (GMT+08:00) 2020-01-14 19:45:35
  Baadhi ya wakulima wa alizeti katika mkoa wa Mbeya, wameanza kuchangamkia fursa ya kuzalisha zao hilo kwa madai kuwa gharama ya uzalishaji wake ni ndogo. Baadhi ya wakulima wameacha ukulima wa mazao ya mahindi kuanza kilimo cha alizeti.

  Baadhi ya taasisi za serikali na zisizo za serikali zimekuwa zikiwatembelea na kuwapatia elimu ya kilimo bora cha zao hilo na hivyo wamehamasika kuanza kuzalisha zao hilo ili kujiongezea kipato.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako