• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Israel yafanya mashambulizi ya anga dhidi ya kambi ya jeshi la anga mkoani Homs, Syria

  (GMT+08:00) 2020-01-15 09:28:19

  Israel imefanya mashambulizi ya anga dhidi ya kambi ya jeshi la anga T-4 mkoani Homs, katikati ya Syria, lakini hayakusababisha uharibifu mkubwa. Jeshi la Syria limesema ndege za kivita za Israel zilirusha makombora kadhaa kulenga kambi hiyo, mengi ya makombora yakiwa yamezuiliwa na jeshi la anga la Syria na makombora manne yameanguka katika kambi hiyo. Makombora hayo yalitokea eneo la al-Tank kusini mashariki mwa Syria, kulikokuwa na kambi moja ya kijeshi ya Marekani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako