• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa DRC ataka kuhimiza uhusiano kati ya nchi yake na China

    (GMT+08:00) 2020-01-15 09:46:40

    Rais FĂ©lix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC amesema anapenda kuona nchi yake inashirikiana na China kusukuma mbele uhusiano kati ya pande hizo mbili.

    Rais Tshisekedi amesema hayo alipopokea hati za utambulisho zilizowasilishwa na balozi mpya wa China nchini DRC Bw. Zhu Jing, na kupongeza maendeleo ya uhusiano kati ya nchi hizo mbili na ushirikiano katika sekta za siasa, uchumi, biashara na utamaduni. Amesema China ni mwenzi muhimu wa ushirikiano wa DRC, na ushirikiano kati ya nchi hizo mbili umepata mafanikio makubwa na kuwanufaisha watu wa nchi hizo mbili, na pia umetoa mchango mkubwa katika maendeleo ya uchumi na jamii ya DRC.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako