• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • RIADHA: Nguli watatu wa riadha kupambana kwenye World Athletics Platinum Label

  (GMT+08:00) 2020-01-15 14:10:47

  Wanariadha wawili kutoka Ethiopia Mosinet Geremew na Mule Wasihun, waliompa msukumo mkubwa mwanariadha nguli wa Kenya Eliud Kipchoge kwenye mbio za Virgin Money London Marathon za mwaka 2019, wamethibitisha kurejea kwenye mbio za barabarani za World Athletics Platinum Label April 26. Kwa vile Kipchoge, ambaye ni mwanariadha namba moja Duniani wa mwaka 2018 na 2019 tayari ameshathibitisha, ina maana wababe wote watatu wa mwaka jana watarudi na kujaza shengesha kwenye mbio za mwaka huu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako