• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • RUGBY: Maveterani wafikiria kurejea kwenye timu ya Kenya Sevens

  (GMT+08:00) 2020-01-15 16:28:27

  Wachezaji wa zamani wa wa Kenya Seven, Oscar Ouma, Samuel Oliech na Dennis Ombachi wametajwa wakati uteuzi wa mwisho wa timu ya taifa itakayoshiriki Mashindano ya Dunia ya Rugby ya Wachezaji Saba yatakayofanyika Hamilton na Sydney inatarajiwa kutajwa hii leo huko Nakuru. Wachezaji hao mara mwisho walichezea timu ya Kenya Sevens wakati wa Mashindano ya Dunia ya Rugby, waliungana na wachezaji wengine walioko Nakuru kwa ajili ya mazoezi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako