• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yarusha satelaiti mpya kwenye anga ya juu

  (GMT+08:00) 2020-01-15 18:52:22

  China imerusha satelaiti ya kiona mbali kwa matumizi ya kibiashara katika mzunguko wa dunia kutokea Kituo cha Kurushia Satelaiti cha Taiyuan kilichoko Shanxi, kaskazini mwa China.

  Satelaiti hiyo iliyotengenezwa na Kampuni ya Teknolojia ya Satelaiti ya Chang Guang, ina uwezo wa kuona sehemu kubwa na pia ina kasi kubwa ya kuhifadhi data na kusafirisha.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako