• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan Kusini yaondoa wasiwasi kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Ebola jimboni Wau

    (GMT+08:00) 2020-01-16 10:51:27

    Sudan Kusini imeondoa wasiwasi kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Ebola katika eneo la Mapel la jimbo la Wau, kakskazini magharibi mwa nchi hiyo. Wizara ya afya ya nchi hiyo na Shirika la Afya Duniani WHO wametoa taarifa ya pamoja ikisema, wamemaliza uchunguzi kuhusu tahadhari ya ugonjwa usiojukukana na kuhakikisha kuwa hakuna mgonjwa wa Ebola.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako