• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yasema inafikiria uwezekano wa uingiliaji wa kielektroniki wa Marekani kama chanzo cha kutungua ndege ya Ukraine "kimakosa"

    (GMT+08:00) 2020-01-16 10:51:44

    Kwa mujibu wa ripoti ya gazeti la Tehran Times, naibu kamanda wa makao makuu ya jeshi la Iran Bw. Ali Abdollahi amesema, uwezekano wa uingiliaji wa kielekroniki kutoka Marekani dhidi ya mtandao wa Rada wa Iran unaweza kusababisha mwendeshaji wa rada kuichukulia kimakosa ndege ya abiria ya Ukraine kama kombora la Marekani. Ameongeza kuwa jeshi hilo limeunda kikundi cha kuchunguza uwezekano huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako