• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RIADHA: Kipchoge aahidi kitu cha kipekee katika mbio za London Marathon

    (GMT+08:00) 2020-01-16 17:22:08

    Mshikizi wa rekodi ya dunia kwa mbio za Marathon Eliud Kipchoge amesema analenga kutimiza kitu cha muhimu katika mbio za London Marathon zitakazofanyika April mwaka huu. Kipchoge, ambaye pia ataongoza timu ya wanariadha wa Kenya katika mashindano ya Olimpiki ya Tokyo baadaye mwaka huu, amesema sio tu kwamba anataka kushinda, bali kutimiza kitu kingine, ambacho labda ni kuvunja rekodi yake ya dunia ya kutumia 2:01:39 aliyoiweka katika mbio za Berlin Marathon mwaka 2018.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako