• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Carrefour yalenga biashara ya muda mrefu Uganda

    (GMT+08:00) 2020-01-16 19:36:47

    Wasimamizi wa Duka la rejareja la Carrefour wamesema mpango wake biashara nchini Uganda ni kuanza kuzalisha faida baada ya katika miaka 10 hadi 20 ijayo.

    Wakati akizungumzia maswala ya kuingia kwa duka hilo nchini Uganda, meneja wa Carrefour nchini humo Bwana Frank Moreau, alisema kampuni hiyo haizingatii faidaya muda mfupi.

    Alisema mojawapo ya mambo muhimu ya kuwepo Uganda, ni kuwa na biashara endelevu.

    Carrefour t, inayoendeshwa na kampuni ya Falme za Kiarabu, Majid Al Futtaim iko katika masoko zaidi ya 30 barani Afrika, Mashariki ya Kati na Asia na sasa inachukua duka la zamani la Nakumatt katika duka la Oasis mjini Kampala.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako