• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China awasili Myanmar

    (GMT+08:00) 2020-01-17 15:50:13

    Rais Xi Jinping wa China leo amewasili Naypyitaw, mji mkuu wa Myanmar na kuanza ziara yake ya kiserikali nchini humo.

    Viongozi wa ngazi ya juu wa serikali ya Myanmar ikiwa ni pamoja na makamu wa kwanza wa rais wa nchi hiyo Bw. Myint Swe walikuwepo katika uwanja wa ndege kumkaribisha rais Xi pamoja na ujumbe wake.

    Hii ni ziara ya kwanza ya rais Xi Jinping nje ya nchi kwa mwaka huu, pia ni ziara nyingine ya rais wa China nchini Myanmar katika miaka 19 iliyopita.

    Huu ni mwaka wa 70 tangu kuanzishwa kwa uhusiano wa kibalozi kati ya China na Myanmar.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako