• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ongezeko la GDP ya China lafikia asilimia 6.1 ya mwaka 2019

    (GMT+08:00) 2020-01-17 16:40:55

    Takwimu zilizotolewa na Idara Kuu ya Takwimu ya China zimeonyesha kuwa, Pato la Ndani GDP la China la mwaka 2019 limefikia dola za kimarekani trilioni 14.38 kwa mujibu wa hesabu za awali.

    Idara hiyo imesema, kiasi hicho ni sawa na ongezeko la asilimia 6.1 kuliko mwaka uliopita, na kimepita lengo lililowekwa kati ya asilimia 6 na asilimia 6.5.

    Mkurugenzi wa idara hiyo Bw. Ning Jizhe leo amesema, ongezeko la uchumi wa China ni kubwa kuliko ongezeko la uchumi duniani. Ongezeko hilo limechukua nafasi ya kwanza katika makundi ya uchumi yenye GDP ya dola za kimarekani trilioni 1.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako