• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Pato la taifa la China kwa wastani lazidi dola za kimarekani elfu kumi kwa mara ya kwanza

  (GMT+08:00) 2020-01-17 16:49:14

  Mkuu wa Idara Kuu ya Takwimu ya China Bw. Ning Jizhe amesema kuwa, wastani wa Pato la taifa (GDP) la China la mwaka 2019 umefikia dola za kimarekani 10,276 kwa kiwango cha ubadilishaji cha wastani cha mwaka 2019.

  Bw. Ning amesema, pato hilo kwa mara ya kwanza limezidi dola za kimarekani elfu kumi, na kuweka rekodi mpya.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako