• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Viongozi wa China na Myanmar wahudhuria hafla ya maadhimisho ya miaka 70 tangu kuanzishwa kwa uhusiano wa kibalozi kati ya nchi mbili

  (GMT+08:00) 2020-01-18 09:30:05

  Hafla ya maadhimisho ya miaka 70 tangu kuanzishwa kwa uhusiano wa kibalozi kati ya China na Myanmar imefanyika jana usiku mjini Naypyitaw, mji mkuu wa Myanmar, ambapo rais Xi Jinping wa China na mwenzake wa Myanmar Win Myint, mshauri mkuu wa serikali ya Myanmar Bibi Aung San Suu Kyi wameihudhuria hafla hiyo, huku wakifungua mwaka wa utamaduni na utalii wa China na Myanmar.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako