• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya vifo katika shambulizi dhidi ya kituo cha jeshi la serikali ya Yemen yafikia 80

    (GMT+08:00) 2020-01-20 09:29:14

    Ofisa wa Idara ya afya ya Yemen amesema jeshi la serikali ya nchi hiyo lilishambuliwa kwa makombora na kundi la Houthi kwenye kituo cha jeshi kilichoko mkoani Marib, hadi sasa askari zaidi ya 80 wameuawa na wengine 150 wamejeruhiwa vibaya. Rais Abdrabbuh Mansur Hadi wa nchi hiyo ametoa taarifa akilaani kundi la Houthi kutokuwa na "udhati wa kutafuta amani", akiliamrisha jeshi la serikali likae tahadhari ya ngazi ya juu, ili kukabiliana na hali ya dharura.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako