• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yaimarisha mapambano dhidi ya jangwa

  (GMT+08:00) 2020-01-20 09:30:00

  China imeimarisha juhudi zake za kukinga na kudhibiti jangwa, ambapo ardhi inayoathiriwa na jangwa imepungua kwa miaka 15 mfululizo hadi kufikia mwishoni mwa mwaka 2019. Habari kutoka idara ya misitu ya China inasema kuwa, hekta milioni 2.26 za ardhi ya jangwa na hekta elfu 25 zenye jangwa na mawe zilishughulikiwa. Aidha ukubwa wa misitu nchini China pia umeongezeka, na hekta milioni 7.07 za misitu zimepandwa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako