• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Miili ya tukio la ndege ya abiria ya Ukraine yarudishwa nyumbani

    (GMT+08:00) 2020-01-20 09:44:53

    Miili 11 ya raia ya Ukraine waliokufa katika tukio la ndege ya abiria ya Ukraine imesafirishwa hadi Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Boryspil huko mjini Kyiv, ambapo rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine, na waziri mkuu Bw. Oleksiy Honcharuk, na maofisa wa shirika la ndege la Ukraine na familia za wafiwa wamepokea miili hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako