• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Madaktari wa China watoa huduma bure ya matibabu vijijini Sudan Kusini

    (GMT+08:00) 2020-01-20 10:23:22

    Timu ya madaktari wa China nchini Sudan Kusini imetoa huduma za matibabu bila malipo kwa watu wapatao elfu moja kwa siku nne katika kambi ya matibabu huko kaskazini mwa Sudan Kusini.

    Taarifa kutoka kwa madaktari wa China zimesema wametembelea Paloch, eneo lenye mafuta mengi katika mkoa wa Kaskazini wa Upper Nile kuanzia tarehe 13 hadi 17 mwezi Januari na kutoa huduma za matibabu ikiwemo upasuaji kwa wagonjwa wa ngiri na kidole tumbo.

    Aidha Madaktari hao wamechangia dawa katika Hospitali ya urafiki ya Paloch ili kukidhi mahitaji ya kimatibabu ya jamii wanaoishi katika eneo hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako