• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • NDONDI: Conor McGregory atokwa machozi mbele ya kadamnasi baada ya kumtwanga mpinzani wake ndani ya sekunde 40

    (GMT+08:00) 2020-01-20 18:17:36

    Mkali wa Mixed Martial Arts (MMA), Conor McGregory ameandika historia mpya katika maisha yake ya ulingoni baada ya kumpiga mpinzani wake, Donald Cerrone ndani ya sekunde 40 na kujikuta akibubujikwa na machozi mara baada ya ushindi huo. Katika pambano hilo lililomrudisha Conor McGregory rasmi katika ulimwengu wa (MMA), mchezo ambao unaruhusu kutumia viungo vyote vya mwili, ulimshuhudia bingwa huyo akionyesha uwezo wa hali ya juu. McGregor sasa ni bondia wa kwanza kushinda kwa KO kwenye uzito wa Featherweight, Lightweight na Welterweight.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako