Mkurugenzi wa klabu ya Paris Saint-German, Leonardo, amesema nyota wa timu ya Edinson Cavani amesema anataka kuhama timu hiyo na kwenda Atletico Madrid. Amesema PSG haitaki mchazaji wao huyo ambaye amefunga mabao mengi kuondoka, lakini wanapaswa kumsikiliza kwa kuwa wana heshimu maamuzi yake. Cavani amefunga mabao 198 akiwa na timu ya PSG, lakini amepoteza nafasi yake kutokana na kusajiliwa kwa Mauro Icardi kwa mkopo akitokea Inter Milan.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |