• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda inajitayarisha kupata kiwanda cha kwanza cha kusindika maziwa ya unga

  (GMT+08:00) 2020-01-20 20:40:00

  Sekta ndogo ya wafungaji Rwanda anatarajiwa kupigwa jeki na wakulima wa maziwa wanapata soko tayari kwa mazao yao, shukrani kwa ujenzi wa kiwanda ambacho kitakuwa kikisindika maziwa ya unga.

  Kulingana na habari kutoka Wizara ya Biashara na Viwanda, uwezo uliowekwa wa kiwanda hicho utaruhusu kusindika lita 252,000 kwa siku.

  Kiwanda hicho kinakadiriwa kugharimu karibu bilioni Rwf37 katika uwekezaji, kulingana na habari kutoka kampuni ya ubia inayomilikiwa na wawekezaji wa Afrika Kusini na Rwanda.

  Ujenzi wa kiwanda hicho kinatarajiwa kuanza oparesheni mwishoni mwa mwaka huu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako