• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bidhaa za pembe za Ndovu zakamatwana katika mji wa Qingdao mashariki mwa China

  (GMT+08:00) 2020-01-20 21:16:34

  Forodha ya mji wa Qingdao, mashariki mwa China, imekamata bidhaa 11 zenye uzito wa gram 347 za pembe za Ndovu kutoka kwenye mzigo wa abiria mmoja ambaye alisafiri kutoka Hong Kong hadi Qingdao.

  Forodha hiyo imesema, bidhaa hizo zilikuwa zimefichwa kwenye makopo kadhaa ya kahawa.

  Kuanzia mwaka 2015, serikali ya China ilipiga marufuku kuingiza bidhaa za pembe za Ndovu, na baadaye mwaka 2017, ilisimamisha kabisa utengenezaji na uuzaji wa pembe za Ndovu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako