• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za mwaka mpya wa jadi wa kichina kwa wananchi wote

  (GMT+08:00) 2020-01-21 10:58:41

  Rais Xi Jinping wa China ambaye yuko ziarani mkoani Yunnan, ametembelea Kituo cha kimataifa cha mikutano na maonesho cha Kunming , ili kupata ufahamu juu ya utoaji wa bidhaa kabla ya mwaka mpya wa jadi wa kichina, na hali ya mauzo na maonesho ya bidhaa za ndani na nje ya nchi. Pia aliwasiliana na wakazi wa huko, na kutoa salamu za mwaka mpya wa jadi wa kichina kwa wananchi wote kote nchini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako