• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yatarajiwa kushiriki kwenye mkutano wa WHO

  (GMT+08:00) 2020-01-21 19:10:01

  Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang amesema, China imepokea mwaliko kutoka Shirika la Afya Duniani WHO kushiriki pamoja na nchi niyingine zilizoathiriwa na virusi vipya vya nimonia kwenye mkutano wa kamati ya tukio la dharura la afya na kubadilishana maoni na ushauri pamoja na uchunguzi wa ugonjwa huo.

  Amesema China inapenda kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kimataifa kulinda kwa pamoja usalama wa afya wa kikanda na wa dunia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako