• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Iran yakiri ndege ya Ukraine yalitungushwa na makombora mawili ya masafa mafupi

  (GMT+08:00) 2020-01-21 19:48:16

  Shirika la telivisheni la Iran IRIB limesema, ndege ya abira ya Ukraine iliyoanguka tarehe 8 mwezi huu muda mfupi baada ya kuruka mjini Tehran ilitungushwa na makombora mawili ya masafa mafupi.

  Likinukuu ripoti iliyotolewa hivi karibuni na Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Iran, shirika hilo limesema makombora hayo mawili yalirushwa kutoka upande wa kaskazini wa ndege hiyo.

  Uchunguzi kuhusu jinsi makombora hayo yalivyosababisha ajali hiyo na uchambuzi wa ajali hiyo bado unaendelea.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako