• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uingereza yaangalia fursa za uwekezaji barani Afrika baada ya kujitoa Umoja wa Ulaya

  (GMT+08:00) 2020-01-22 14:28:34

  Uingereza inaimarisha juhudi kutafuta uwekezaji na fursa za kibiashara barani Afrika wakati nchi hiyo ikitarajia kuielekea dunia baada ya kujitoa Umoja wa Ulaya Januari 31. Waziri mkuu wa Uingereza Bw. Boris Johnson akiongoza mkutano wa kwanza wa kilele wa uwekezaji wa Uingereza na Afrika amesifu uwezo mkubwa wa Afrika na utaalamu unaoweza kutolewa na Uingereza. Kwenye mkutano huo, Bw. Johnson amesema Afrika ni matumaini ya siku za baadaye na Uingereza inaweza kutoa mchango mkubwa katika siku za baadaye, huku akisisitiza kuwa nchi hiyo inataka kuwa mwenzi wa uwekezaji wa Afrika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako