• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Baraza la juu la Bunge la Marekani laanza kusikiliza kesi ya kumwondoa rais Trump madarakani

  (GMT+08:00) 2020-01-22 14:29:09

  Baraza la juu la Bunge la Marekani limeanza rasmi kusikiliza kesi dhidi ya rais Donald Trump, na kipaumbele cha siku ya kwanza ni mjadala na upigaji kura kuhusu mswada wa azimio la mchakato wa ukaguzi wa kesi ya kumwondoa rais madarakani. Kwa mujibu wa mswada wa azimio uliotolewa na kiongozi cha chama cha Republican kinachoongoza baraza la juu la bunge, mchakato wa kesi hiyo ni pamoja na maelezo ya kesi, maswali ya pande mbili, baraza hilo kupiga kura kama litawaita mashahidi wengi zaidi au kukagua ushahidi mwingi zaidi au la.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako