Championi wa mbio za nyika nchini Kenya Hellen Obiri atafukuzia taji lake la tano la Jeshi la Ulinzi la Kenya ijumaa wiki hii katika mbio za 12 za nyika za Thika zitakazofanyika kwenye kambi ya Uhandisi. Obiri ambaye atawakilisha timu ya jeshi la anga la Laikipia, alitetea rekodi yake ya dunia mwezi Septemba katika mbio za wanawake za kilomita 5000 zilizofanyika Doha. Jumapili iliyopita, Obiri alishika nafasi ya nne katika mbio za nyika zilizofanyika Seville, Italia.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |