• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Iran yalaani nchi za Ulaya kuanzisha utaratibu wa mzozo katika suala la nyuklia la Iran

  (GMT+08:00) 2020-01-22 19:23:05

  Mkuu wa Shirika la nishati ya atomiki la Iran(AEOI)Bw. Ali Akbar Salehi amezilaumu Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kwa kuanzisha utaratibu wa mzozo kwenye makubaliano ya suala la nyuklia la Iran.

  Amesema kitendo hicho kimetokana na shinikizo na madai ya Marekani, na kimethibitisha ukosefu wa uwezo wa Ulaya wa kukabiliana na madai ya Marekani.

  Habari zinasema, wiki iliyopita, nchi hizo tatu zilitangaza kuchukua hatua kuanzisha utaratibu wa mzozo na Iran.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako