• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa Msumbiji awaapisha magavana waliochaguliwa

  (GMT+08:00) 2020-01-23 09:30:40

  Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji amewaapisha magavana kumi wa majimbo waliochaguliwa katika uchaguzi mkuu na mikoa uliofanyika mwezi Oktoba mwaka 2019. Magavana walioapishwa wote ni wanachama wa chama tawala Frelimo ambao walishinda katika uchaguzi wa moja wa moja wa magavana katika historia ya nchi hiyo kupitia mfumo wa uchaguzi wa bunge wa majimbo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako