• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uingereza yaondoa vikwazo vyote vya kisheria katika njia ya Brexit

  (GMT+08:00) 2020-01-23 09:32:09

  Baraza la juu la bunge la Uingereza limepitisha sheria zote kuhusu makubaliano ya nchi hiyo kujitoa Umoja wa Ulaya, ambayo yatapitishwa na malkia ya Uingereza Elizabeth II. Waziri mkuu wa nchi hiyo Bw. Boris Johnson siku hiyo amesema, kupitishwa kwa sheria hiyo kunaonesha kuwa Uingereza itajitoa Umoja wa Ulaya tarehe 31 mwezi huu kama ilivyopangwa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako