• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya dunia yazitaka nchi za Afrika kupokea minyororo ya thamani duniani

    (GMT+08:00) 2020-01-23 09:46:20

    Benki ya dunia imezitaka nchi za Afrika kupokea minyororo ya thamani kwenye uzalishaji ili kuongeza mapato yao.

    Ofisa mwandamizi wa benki ya dunia Bibi Pinelope Goldberg amewaambia wanahabari mjini Nairobi, kuwa kwa sasa nchi nyingi za Afrika zinanufaika zaidi na biashara ya kimataifa kwa kuuza bidhaa za kilimo na bidhaa nyingine. Amesema makampuni ya Afrika yakishiriki kwenye uuzaji na uagizaji wa bidhaa yanaweza kuongeza nafasi za ajira na kupunguza umaskini.

    Bw. Goldberg amesema kimsingi minyororo ya thamani inaleta urahisi kujihusisha na shughuli za uagizaji na usafirishaji nje wa bidhaa, kwa kuwa shughuli za uzalishaji wa baadhi ya vipuri bila kuwa na uwezo kamili wa uzalishaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako