• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • WHO yasema maambukizi ya virusi mjini Wuhan hayajawa tukio la dharura la afya ya umma PHEIC

  (GMT+08:00) 2020-01-24 10:27:26

  Shirika la afya duniani WHO limetangaza kuwa maambukizi ya virusi vipya vya nimonia aina ya 2019-nCoV nchini China, hayajafikia kiwango cha tukio la dharura la afya ya umma linalofuatiliwa na dunia PHEIC.

  Mkutano wa dharura wa WHO uliofanyika jana umetangaza baada ya majadiliano, kuwa ni mapema kwa sasa kuyatangaza maambukizi hayo kuwa ni tukio la dharura la afya ya umma linalofuatiliwa na dunia, sababu kuu ni kwamba idadi ya watu wanaoambukizwa virusi hivyo nje ya China ni wachache, na serikali ya China imetekelezwa hatua madhubuti za kinga na udhibiti.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako