• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Uchumi wa Kenya kukua kwa asilimiua 6.1

    (GMT+08:00) 2020-01-24 19:26:05
    Serikali ya Kenya inatarajia ukuaji wa uchumi wa asilimia asilimia 6.1 mwaka huu 2020, kutoka asilimia 5.6 ya mwaka 2019.

    Waziri ya fedha nchini humo Ukur Yatani alibaini kuwa ukuaji huo utasaidiwa na sekta ya huduma, mazingira thabiti ya uchumi na uwekezaji unaoendelea katika sekta mbalimbali chini ya "Ajenda Nne kuu za serikali".

    Yatani alibaini kuwa mwaka jana, moja ya mambo ambayo yalipunguza ukuaji wa uchumi ni kuchelewa kwa mvua katika nusu ya kwanza ya 2019 iliyoathiri uzalishaji wa kilimo.

    Hata hivyo kulingana na Kauli ya sera ya Bajeti ya 2020 iliyotolewa hivi karibuni, uchumi utaendelea kupata za matumizi ya umma, haswa zinazohusiana na matumizi ya kawaida ya mshahara na mabadiliko ya hali ya hewa yasiyoweza kuepukika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako