• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi asema kudhibiti virusi vipya vya korona ndio kazi ya msingi kwa sasa

  (GMT+08:00) 2020-01-25 20:32:21

  Rais wa China Xi Jinping, amesema kudhibiti na kuzia virusi vipya vya korona ni kazi muhimu zaidi nchini kwa hivi sasa. Bw. Xi ambaye pia ni katibu mkuu wa kamati kuu ya chama cha kikokunisti cha China CPC, ameyasema hayo wakati akiongoza mkutano wa Idara ya Siasa ya kamati ya CPC, ambao ulikuwa na kazi ya kuchambua uzuiaji na hatua za kudhibiti nimonia inayosababishwa na virusi vya korona.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako