• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri Mkuu wa China akagua kazi ya kuzuia virusi vipya vya korona mjini Wuhan

    (GMT+08:00) 2020-01-27 19:26:11

    Waziri Mkuu wa China Bw. Li Keqiang leo amefika mjini Wuhan, Mkoani Hubei nchini China ili kukagua na kuelekeza kazi za kuzuia na kudhibiti mlipuko wa virusi vipya vya korona, na kuwatembelea wagonjwa na wafanyakazi wa matibabu.

    Bw. Li amewahimiza viongozi wa ngazi zote kuweka kipaumbele usalama na afya za watu na kutoa wito wa utekelezaji madhubuti wa hatua za kuzuia virusi hivyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako