• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Simba, Yanga vitani Machi 8

  (GMT+08:00) 2020-01-31 17:33:02

  Mechi ya marudiano ya watani wa jadi ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2019/2020, Yanga dhidi ya Simba imepangwa kuchezwa Machi 8 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa jana na Bodi ya Ligi kwa kushirikiana na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mwenyeji wa mchezo huo ni Yanga iliyo chini ya kocha Luc Eymael, raia wa Ubelgiji. Timu hizo zitashuka dimbani zikiwa na kumbukumbu ya kutoka sare ya mabao 2 – 2 katika mechi iliyochezwa Januari 4 mwaka huu jijini Dar es Salaam.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako