• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda kuandaa mashindano ya kurudha droni

    (GMT+08:00) 2020-01-31 19:41:08
    Rwanda inatarajiwa kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuandaa mashindano ya kurusha droni.

    Mashindano hayo yatarajiwa kuandaliwa kati ya tarehe 8 na 16 katika wilaya ya Karongo mkoa wa magharibi na yanalenga kuonesha droni za kisasa na maendeleo ya teknolojia ya droni.

    Waandalizi wanasema mashindano hayo yazingatia teknolojia ya droni za umeme na kutua wima au zenye uwezo wa kutua kwa haraka na pia zile za za masafa marefu.

    Hafla hiyo itafanyika pembezoni mwa mkutano wa Droni wa Afrika mwaka 2020.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako