• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Viongozi wa China wasikiliza ripoti ya kazi ya kudhibiti maambukizi ya korona

    (GMT+08:00) 2020-02-03 20:35:37

    Kamati ya kudumu ya idara ya siasa ya Chama cha Kikomunisti cha China imefanya mkutano na kusikiliza ripoti ya kazi ya kukinga na kudhibiti virusi vipya vya korona iliyotolewa na timu ya uongozi wa kazi hiyo ya serikali kuu na idara husika.

    Rais Xi Jinping wa China ameongoza mkutano huo na kutoa maagizo muhimu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako